Takriban watu 11 wakiwamo maafisa wa polisi, wameripotiwa kuuliwa usiku wa kuamkia Jumapili na wahalifu wenye silaha kali katika tukio la wizi wa mifugo, huko Namariat, Turkana Mashariki katika kaunti ya Turkana.
Walioliwa ni maafisa wanane wa polisi, chifu wa eneo la Lepeito na wanakijiji wawili wa Namariat.
Msemaji wa polisi Bruno Shioso, amesema maafisa wa polisi waliouliwa walikuwa wakiwafuatilia majangili waliojihami kwa silaha kali, ambao walikuwa wamekivamia kijiji cha Namariat na kuiba idadi kubwa ya mifugo.
Facts First
This story continues on The Standard INSiDER. Subscribe now for unfiltered journalism that holds power to account.
Already have an account? Login
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.