×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Mkenya ataka kuongolewa kwa Moses Kuria kwenye kamati inayojadili suala la IEBC

Living

Huku mchakato wa kutafuta suluhu kuhusu utata ambao umekuwa ukiizingira Tume ya Uchaguzi nchini IEBC ukiendelea, mwanaharakati mmoja amewasilisha kesi mahakamani akitaka kuondolewa kwa Seneta Johnstone Muthama, Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria na mwenzake wa Suna Mashariki Junet Mohamed kwenye kamati ya pamoja ya Jubilee na CORD. Mwanaharakati huyo, Henry Kioko amesema watatu hao wanakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu madai ya uchochezi hivyo hawastahili kuhudumu kwenye kamati hiyo inayotarajiwa kutoa mwelekeo kuhusu hatma ya makamishna tisa wa IEBC. Vilevile amesema tajriba ya watatu hao ni ya kutiliwa shaka. Viongozi hao ni miongoni mwa wanane ambao walikamatwa wiki mbili zilizopita kwa tuhuma za kutoa matamshi ya uchochezi.

Na, Beatrice Maganga,

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles