×
App Icon
The Standard e-Paper
Truth Without Fear
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

British Free Primary Education funding - swahili

Living
Shirika la  Uingereza- DFID ambalo limekuwa likifadhili mpango wa elimu ya msingi bila malipo humu nchini sasa limesitisha kufanya hivyo kupitia kwa serikali ya kenya , na badala yake limeamua kuzifadhili shule husika moja kwa moja. Haya ni kwa mujibu wa mkuu wa shirika hilo humu nchini alistair fernie ambaye amesema kwamba hatua hiyo imechangiwa na serikali ya kenya kutoonyesha uwajibikaji  baada ya shilingi zaidi ya milioni mia tano kufujwa katika wizara ya elimu

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles