Chama cha Kitaifa cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya Kadri KUPPET kimezitetea baadhi ya shule ambazo matokeo yake ya mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Nne mwaka jana, yaliimarika pakubwa kulinganishwa na awali.
Katibu Mkuu wa Chama hicho Akello Misori, amesema kuna uwezekano mkubwa kwa matokeo ya watahiniwa kutofautiana kila mwaka kutokana na sababu mbalimbali; mfano kuimarisha hali ya masomo na hata kubadilishwa kwa walimu na wakati mwingine watahiniwa kuwa werevu kulinganishwa na watangulizi wao.
Akihojiwa katika Spice FM Misori Misori amesema hatua ya watu kuibua maswali kuhusu matokeo mazuri kunaweza kuwafanya walimu na watahiniwa kufa moyo.
Facts First
Unlock bold, fearless reporting, exclusive stories, investigations, and in-depth analysis with The Standard INSiDER subscription.
Already have an account? Login
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.