Washukiwa wa kundi gaidi la Al-Shabaab wamevamia kambi ya Maafisa wa Polisi wa Kitengo cha Kukabili Wizi wa Mifugo, Anti-Stock Theft Unit kwenye eneo la Kotulo katika Kaunti ya Mandera.
Maafisa 3 wamejeruhiwa na bomu lililotegwa na washukiwa wakati wa uvamizi huo.
Maafisa wa usalama kutoka Wajir wametumwa katika eneo hilo la Kotulo ili kudumisha usalama na kuwasaka washukiwa hao.
Mengi yaja....
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.