Na, Sarah Otieno/ Beatrice Maganga
Viongozi wa muungano wa NASA wamelazimika kukatiza ziara zao mjini Kabarnet Kaunti ya Baringo baada ya kundi la vijana kuzua vurugu walipokuwa wakihutubu.
Kwa mujibu wa wakazi, ghasia hizo zilichangiwa pakubwa na mabango yaliyokuwa na ujumbe 'Ruto shoot to kill' wakisema hali hiyo ilichangia taharuki. Vijana hao aidha wameteketeza mabango na mashati-tao ya NASA na kuvalia yale ya chama cha Jubilee.
Raila aliyezungumza baadaye aliikashifu serikali ya Jubilee akidai haijaangazia masuala ya usalama wa wakazi wa eneo hili, suala ambalo limesababisha vifo na wakazi kupoteza mali yao.
Kauli yake imesisitizwa na Musalia Mudavadi na Gavana wa Bomet, Isaac Ruto ambao wamewashtumu vijana wanaokubali kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu katika mikutano ya kisiasa.
Ziara hiyo inajiri wakati idadi ya walioaga dunia kufuatia shambulio la wezi wa mifugo eneo la Mochongoi, Baringo Kusini imefikia watano baada ya mili miwili kupatikana leo katika Msitu wa Lomoiwe.
NASA imesitisha zira yao Kabaranet Baringo baada ya vijana kuzua vurugu
Living
By | 8 years ago | 1 Min read
.
Trending Now
- Do you know your bra size or are you still wearing 34B out of habit?
- Quiet strength of mothers raising kids with special needs
- Why waiting to get sick is a risk we can't afford
- Easy recipe: Potato salad and chicken tikka
- Bank dollar market rate hits record Sh134 on high demand
- A Valentine proof guide for the lonely hearts: Val’s or not, your life must go on.
- Change lifestyle to cope with harsh economy
- Wife in forced marriage kills 15 in-laws in plot to kill husband
- Quiet strength of mothers raising kids with special needs
- Achieving woman: Dr Mercy Mwangangi, the doctor with a big public voice
.
Popular this week
- Easy recipe: Walnuts cheesy kunafa
- Playing favourites: The 'golden child' of the family
- Quiet strength of mothers raising kids with special needs
- How to report a superior without risking your job
- Fathers must help kids discover talent
- TV hunk Nick Mutuma shows off new model girlfriend at Nairobi Fashion Week
- Elevate your graphic T-shirt into a fashion statement
- Why married women cheat 'smarter' than men
- Delicate dance: What reciprocity really looks like in relationships
- Harry and Meghan's celeb pals help them decide on best school for son Archie
.
Similar Articles
.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.