×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

TJRC Mt. Elgon hearings-Swahili

Living
Wakaazi wa eneo la Bungoma wametaka uchunguzi kufanywa dhidi ya visa vya wanajeshi kuwashambulia wakaazi wa eneo hilo wakati walipofanya msako dhidi ya kundi la SLDF huko mlima Elgon. Wakielezea tume ya TJRC masaibu waliyopitia mikononi mwa walinda usalama mnamo mwaka 2007, wakaazi hao pia wametaka kulipwa fidia kwa kupoteza familia na mali zao.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles