×
App Icon
The Standard e-Paper
Read Offline Anywhere
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

ICC Team meets the Government.-Swahili

Living
Wawakilishi wa ofisi ya Kiongozi wa Mashtaka wa Mahakama ya ICC wamekutana na kamati ya serikali inayoshughulikia kesi za ghasia za uchaguzi huku wakiripoti kuahidiwa kwamba serikali itashirikiana nao kufanikisha kesi hizo huko hauge. Lakini haya yanajiri wakati ambapo mkuu wa sheria Amos Wako ametangaza kwamba watakata rufaa dhidi ya maamuzi ya ICC yalioashiria kwamba Kenya haina uwezo wa kutekeleza kesi hizo humu nhcini. Na kuibua swala la azma ya serikali kuhakikisha kesi ya hauge imekamilika.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles