.
News
Maandalizi ya ziara ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza yakaribia kukamilika
Maandalizi yanaendelea kabla ya ziara ya siku mbili ya Rais William Ruto katika eneo la Nyanza.
By OMAE CALLEN and Carren Omae
Mar. 18, 2023
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na waathiriwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na viongozi wa kidini nchini Sudan Kusini
By Carren Omae
Feb. 4, 2023
Chama cha Kitaifa cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya Kadri KUPPET kimezitetea shule zilizoimarika katika KCSE, 2022
By Carren Omae
Jan. 28, 2023
Wataalam katika sekta ya Afya wanatoa wito kwa serikali na washikadau wengine kushirikiana kufadhili ili kufanikisha mipango ya kutoa chanjo na ukaguzi dhidi ya ugonjwa wa saratani.
By Carren Omae
Jan. 28, 2023
Premium
Papa Benedict XVI amezikwa
Aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict wa kumi na sita amezikwa.
By Carren Omae
Jan. 28, 2023
Chama cha Madaktari KMPDU kwenye eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa kimetishia kuitisha mgomo wa madaktari kwenye Kaunti ya Nandi baada ya Serikali ya kaunti hiyo kuchelewesha mishahara yao.
By Carren Omae
Jan. 12, 2023
Rais William Ruto amewataka maafisa wa polisi nchini kushiriki kampeni ya upanzi wa miche ili kukabili athari za mabadiliko ya hali ya anga
By Victor Mulama
Jan. 11, 2023
Mbunge wa Kabuchai Majimbo Kalasinga na mwenzake wa Webuye Mashariki Dan Wanyama wamewaongoza wakazi wa Chwele kuandamana wakilalamikia ongezeko la ajali.
By Duncan Waswa
Jan. 11, 2023
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ameendelea kuwashauri wanasiasa wa eneo la Kati ya Nchi kuunga mkono serikali iliyopo kwa manufaa ya wakazi wa Mlima Kenya
By Carren Omae
Nov. 19, 2022
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetangula ametanagza kuwa wazi nyadhfa za ubunge katika Eneo Bunge la Kandara na Garissa Mjini.
By Esther Kirong'
Oct. 29, 2022
Abraham Serem ndiye Kaimu Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya KenGen baada ya kuteuliwa kushikilia wadhifa huo.
By Beatrice Maganga
Oct. 29, 2022
Benki ya KCB imetenga shilingi bilioni 250 aitakazotumika kuwafadhili wanawake wawekezaji katika kipindi cha miaka 5 ijayo.
By Carren Omae
Oct. 29, 2022