Na, Carren Omae
Watu sita wamefariki dunia na wengine kumi kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea jioni hii kwenye barabara ya Kendu Bay-Katito, Kaunti ya Homabay. Ajali hiyo iliyohusisha gari la abiria na jingine dogo imetokea kilomita moja kutoka mjini, Kendu Bay. Mkuu wa Polisi Kaunti ya Homa Bay, John Omusanga amesema waliojeruhiwa wanatibiwa katika hospitali iliyo karibu. Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo, walioaga dunia walikuwa abiria.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.