×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya's Bold Newspaper
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Lucky dip sweats in chandarana - swahili

Living
Wengi watailaumu teknologia na kisingizio cha 'kwenda na wakati' kwa ukosefu wa maadili katika jamii,  haswa miongoni mwa vijana walio chini ya umri wa miaka kumi na nane. Lakini utapata binadamu ndio wa kulaumiwa kwa kuhusika na upotovu. Kwani katika pilka pilka zake hapa jijini nairobi, damaris kitavi alikumbana na duka moja la jumla likiuza aina ya peremende iliyo na muundo kamili wa sehemu za siri za mwanamume. La mno, ni kuwa peremende hizi ziliwekwa katika maeneo ya kuuzia peremende za watoto

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles