Katika taarifa ya kutatanisha kutoka Nairobi ni kwamba kwa wiki moja mfululizo watoto wawili wamefariki katika siku tofauti katika shule moja inayojulikana kama Buruburu 1 , aidha kulingana na uchunguzi wetu ni kwamba wanafunzi hao wanadaiwa kuzama katika dimbwi la kuogelea maarufu kama “swimming pool” walipokuwa wakiogelea.Mmoja ya watoto hao alikumbana na mauti yake siku ya ijumaa na ilhali mwengine akifariki siku ya jumamosi.Hata hivyo wakuu wa shule hiyo kamwe hawakutaka kuzungumzia kuhusu kidimbwi hicho ambacho kimekuwa mtego wa mauti na kuibua swala je nini haswa kinachoendelea katika shule hiyo? kwani ilibidi wanahabari wa KTN kuandamana na OCS ndiposa tufunguliwe mlango unaoelekea kwenye kidimbwi cha shule kinachoonekana kuwa tiketi ya mauti kwa vijana walio na mazoea ya kuogelea
Kidimbwi Cha Mauti
Living
By | 15 years ago | 1 Min read
.
Trending Now
- Easy recipe: Potato curry
- Why a career change might matter for you in 2023
- Hottest president in the world? Photos of Croatian President Kolinda Kitarovic who is stealing hearts in Russia
- Why a second opinion can be helpful in the medical diagnostic world
- Kenya up 14 spots in gender gap ranking
- Types of wives in marriages
- First paperless Cabinet approves setting up 25,000 Wi-Fi hotspots
- The work spouse: Platonic partnership or cheating?
- Curry leaves potatoes with naan and chicken
- Fact check: No, model Nyakim doesn’t hold record for ‘darkest girl in world’
.
Popular this week
- Easy recipe: Potato curry
- How trauma lives in the body long after the event has passed
- Financial infidelity: The quiet relationship killer
- I'm dating a man in his 50s, should I be worried?
- Make your sofa look new by changing these three things
- Prediabetes: The early warning you can still act on
- The 'most dateable' woman unmasked: What men really want in a potential partner revealed
- Steps to take when you have thoughts of revenge.
- I slept with my sister's husband while she was away and can't stop thinking about it
- How romantic relationships turn you into a better person
.
Similar Articles
.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.