Ikisalia siku kumi na mbili kabla ya kura ya maoni kufanyika swala la amani kufikia sasa ndilo lipo kwenye midomo ya wengi Hususan wakati huu ambapo tahadhari imetolewa na tume zenye kushughulikia agenda ya nne .Hata hivyo katika kitongoji duni cha Kibera sehemu mmoja iliyokumbwa na ghasia za baada ya uchaguzi vijana waliotwikwa jukumu la kuwa mabalozi wa amani wameanza shughuli ya kuhamasisha vijana wenzao kuhusiana na hasara ya vita na kujihadhari na wanasiasa wenye uchochezi wakati huu wa kampeini na hata wakati wa kura ya maoni zipora karani na taarifa hio kwa kina.
Vijana Wenye Amani
Living
By | 15 years ago | 1 Min read
.
Trending Now
- Eight things you might not know about Lady Justice Njoki Ndung'u
- Men, get dumped, act dumped
- Digital infidelity: Rise of virtual cheating
- Master of Descriptions: Dead Man’s Tale (Part III)
- Make your life easy: Few surprising ways you can use your microwave
- Here is a list of married Kenyan celebrity couples that do not have kids
- Easy recipe: Spicy butterfly chicken with wedges
- My marriage is ending and I don't know where we went wrong
- When will period shaming end?
- 9 ways to help children understand death and grief, explained by an expert
.
Popular this week
- How do I leave a man who thinks everything is fine?
- Digital infidelity: Rise of virtual cheating
- Playing favourites: The 'golden child' of the family
- Make your sweater the star of the show this season
- Easy recipe: Swahili fried vermicelli
- I married my campus lover: Flight attendant's sky-high success story
- Why waiting to get sick is a risk we can't afford
- Easy recipe: Swahili prawns masala
- I have heard rumours about my husband sleeping around with other women. Should I confront him?
- Do you know your bra size or are you still wearing 34B out of habit?
.
Similar Articles
.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.