Tarehe 17 mwezi mei itakuwa kwenye kumbukumbu ya wengi haswa wakaazi wa likoni eneo la Mombasa, ni siku ambayo juhudi za polisi kukabiliana na majambazi zioliwaacha wenyeji na makovu na majonzi, hii ni baada ya baadhi ya wenyeji hao kujeruhiwa kwa risasi wakati polisi walipokuwa wakikabiliana na majambazi…..wengi wamejipata vilema na sasa wamekuwa mzigo mkuu kwa familia zao zilizokuwa zikiwategemea kwa riziki. Na sasa wanauliza mbona polisi wakafanya hivyo, je azimio lao lilikuwa kuwanasa majambazi au kuwaacha raia na makovu wasiyostahili?
Shutuma Kwa Polisi
Living
By | 15 years ago | 1 Min read
.
Trending Now
- Should you exercise during pregnancy?
- DJ Black Coffee reveals how his arm got paralysed
- Wendy Kimani's struggle to conceive and the reality of PCOS
- When your body feels off and no one can explain why
- Cocktail bar: The monkey shoulder
- How to style slogan sweatshirts for every occasion
- Of Masaku 7s and my stool
- Easy recipe: Samaki wa kupaka
- Six best foods to eat on an empty stomach
- Why you shouldn't be using the 'bunny ear' method to tie your shoelaces
.
Popular this week
- Why do some people push away the love they secretly want?
- Natural does not mean safe: Experts warn against risks linked to raw milk
- Condomless sex causing infertility and STIs in young adults
- How to make work more enjoyable and stay motivated
- What every pregnant woman should know about breech births
- Uber says will await final EU court ruling later this year
- Baby trap: When a man becomes an unwilling father
- Ingredients to make the best cocktails at home
- Cocktail bar: The monkey shoulder
- When your body feels off and no one can explain why
.
Similar Articles
.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.