×
App Icon
The Standard e-Paper
Read Offline Anywhere
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Elimu Ya Umma

Living

Huenda shughuli ya kuelimisha umma kuhusu rasimu isiendeshwe ipasavyo baada ya kamati ya wataalam kukosa fedha za kufadhili shughuli hiyo. Kufikia sasa kamati hiyo imepokea shllingi  millioni 10 pekee tofauti na ilivyotarajiwa kwamba wangelipata shillingi millioni 330 kutoka kwa wizara ya fedha. ni hali ambayo imemshurutisha kamati hiyo kutoa ombi maalum kwa waziri Uhuru Kenyatta kuingilia kati kutatua vikwazo vinavyochelewesha harakati hii.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles