Pacha wawili, Mevis na Melon waliotenganishwa wakati wa kuzaliwa, wanapitia hali ngumu ya maisha. Punde baada ya kuangaziwa katika vyombo vya habari, wengi walijitokeza na ahadi za kuwasaidia. Lakini tangu hapo wameachwa wakihangaika; chakula ni kwa shinda, karo ni kwa shida...wamesalia ombaomba. Faith Kutere amezungumza nao.