Wanawake walemavu siasani; Rose Museo | Kisa Changu Podcast Sehemu ya 1
Published Jul. 31, 2022
00:00
00:00

Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Machakos, Rose Museo ni mwenye ulemavu. Museo aliyepata ulamavu huo ulemavu kufuatia ajali mwaka 2007 anasema changamoto hiyo haikumzuia kufanikisha ndoto yake ya kuwa kiongozi. Katika mazungumzo na mwanahabari wetu, Rose Mukonyo anawashauri wanawake wengine wenye ulemavu kwamba wanaweza kuafikia malengo maishani.