Wasifu wa Hayati Mwai Kibaki
Published Apr. 23, 2022
00:00
00:00

Wasifu wa Hayati Stanly Emilio Mwai Kibaki aliyeongoza Kenya kati ya 2002 - 2012 na kuaga dunia tarehe 22/04/ 2022. Wasifu huu umeandaliwa na kusimuliwa na Victor Mulama.