×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

IEBC yawafuta maafisa wake 4

Living

Tume ya Uchaguzi, IEBC imewafuta kazi maafisa wake 4 ambao walikamatwa katika Eneo Bunge la Ndhiwa kwenye Kaunti ya Homa Bay wakihusishwa na njama za kulenga kufanikishwa udanganyifu katika uchaguzi wa Jumanne wiki hii.

Waliofutwa ni msimamizi wa uchaguzi katika kituo kimoja cha kupigia kura katika wadi ya Kanyadoto, manaibu wasimamizi wa uchaguzi wa vituo viwili vya kupigia kura katika wadi ya Kanyadoto na karani wa kituo kimoja cha wadi ya Kwabwai.

Wanne hao walifumaniwa na wananchi wakiwa katika kikao na baadhi ya wagombea wa chama kimoja cha kisiasa kwenye eneo hilo katika kijiji cha Riat.

IEBC inatarajiwa kuwaajiri wengine wapya kuchukua nafasi yao.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles