×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

"Wasanii wanao unga mkono vyama vya siasa wako biashara tu" asema Boss M.O.G

Living

"Wasanii wanao unga mkono vyama vya siasa wako biashara tu" asema Boss M.O.G

Boss M.O. G ameachia video yake inayozungumzia ukabila, hongo, uchaguzi na lakini pia ufisadi nchi Kenya.

Msanii huyo mkongwe kwenye game la muziki nchini amekuwa staa wa muziki na sasa amechukua hatua ya kurejesha mkono kwa jamii.

Akiwa Live studioni, Radio Maisha kwenye kipindi cha Maisha Asubuhi, ameweka wazi mpango wake wa kuwapa support wasanii wachanga ile nao wafikie malengo yao.

M.O.G, ametambulisha video yake hio kwa jina ‘Magugu’ kwa maana ya vitu ninavyozua kunawiri kwa mimea huku akilenga masuala yanayorejesha nchi ya Kenya nyuma kama vile corruption.

“Magugu ni kama vile zile nyasi zinazomea shambani na kuharibu mazao ya mimea.Hapa nalenga vitu vinavyorejesha nchi yetu Kenya nyuma kama siasa mbaya” asema Boss M.O.G.

Hata hivyo amefungukia suala la wasanii wa gospel kuonyesha uamuzi wao kuunga mkono chama cha Jubilee katika uchaguzi ujao.

“Wasanii wa haki ya kuunga mkono upande wowote watakao chagua lakini mimi naona ni biashara tu kwa sababu mtu anajua uamuzi wake kwenye debe kutoka kwa moyo wake. Labda wanafuta pesa pekee”akaongezea Boss.

Kwa sasa anamshika mkono msanii mpya kwenye tasnia ya muziki, Nexx le na wana wimbo mpya collabo ‘Eazzy’.

#MitegoEA.

 

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles