Gari la Jaguar kuhusika wa ajali
Jaguar yupo matatani sasa baada ya gari lake kuhusika kwenye ajali ya barabaarani July 11,2017.
Gari lake hilo la msanii mwanasiasa anayewania nafasi ya ubunge kwenye eneo bunge la Starehe Nairobi, limesajiliwa kwa namba KBX 808J lilihusika kwenye mkasa huo wakati dereva alipokuwa akitumia simu ya mkononi wakati wakiwa kwa kampeni. Baada ya ajali hio dereva ametokomea na anasakwa na maafisa wa polisi kutona na kuharibu gari la Rose Masoni. Kesi imerekodiwa Industrial Area police station under OB/41/13/7/2017.
-Na MkazivaeUNIT
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.