×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Radio Presenter Mbusii: Chunga mashemeji wasibomoe hao yako

Living
 Ni lazima wewe kama mwanaume uwache kukakaa sana na mashemeji zako Picha: Ninja fulani

Kuna tabia zingine za mashemeji haziletangi bidii mtaani.

Ukitaka kuishi viital na mashemeji, lazimaaa ukue a conscious man ama woman. Mashemeji wanaweza wakakuharibia ndoa yako kulingana na vile wao hubonga ama vile wana-behave kwa hao yako.

Mara unasikia eti your brother-in-law anasema “huyu ni shemeji mgani na hakuna kitu hata moja ameleta kwetu, kazi ni kupiga sister yetu kuni.” Imagine your bro-in-law asema eti umepiga sistalke kuni hadi ame-beat na haunanga shukrani.

Ndio maana nasema ni lazima wewe kama mwanaume uwache kukakaa sana na mashemeji zako. Utaishi fiti na bibi yako ama bwana yako hata ukisota, bora iwe siri yenu. Usikubali mashemeji wa akina bibi wajue umesota juu wataendelea kukudharao.

Si eti kila mara unapigia mashemeji wako simu ukiomba pesa ukisema vile uko msoto hauna hata pesa ya kulipa token kwa hao. Kufa kama mwanaume.

Jikakamue hata ukikutana nao wanatii. Kama ni lock wanatoa unachafua meza chafu chafu wanakubali.

Mashemeji mkutanange nao saa zile inafaa, but sio saa zote, hivyo uta survive. Hi mambo ya kila siku umeenda kwa your mother-in-law kukunywa chai lazima uwachane nayo. Enda tu kama kuna need ile important sana.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles