×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya's Bold Newspaper
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Kawangware Protests - Kiswahili

Living

Baba na mwanawe mwenye umri wa miaka 11 asubuhi ya 23/11/2011 walipigwa risasi na kuuawa na polisi katika mtaa wa kawangware kitendo kilichosababisha maandamano makuu huku  wakazi wa mtaa huo wakikashifu vikali mauji hayo. Mauji hayo ya kutatanisha yalitokea mwendo wa saa kumi asubuhi kwa kile polisi wanadaiwa  walikuwa wakiitikia mwito wa dharura. Lakini wakazi wa mtaa huo wanasisitiza wawili hao walikuwa njiani kuelekea soko la gikomba kununua mboga ambazo baadaye wao huziuza mtaani humo. Uchunguzi umeanzishwa kubaini kiini cha mauaji hayo.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles