×
App Icon
The Standard e-Paper
Truth Without Fear
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Raila on hooliganism

Living
WAZIRI MKUU RAILA ODINGA AMEWATAKA MASHABIKI WA SOKA HUMU NCHINI PAMOJA NA WACHEZAJI WA VILABU MBALIMBALI KUZINGATIA UTULIVU WAKATI MECHI ZINAPOENDELEA ILI KUZUIA VISA VYA VURUGU KAMA VILIVYOTOKEA JUMATANO ILIYOPITA WAKATI WA MECHI KATI YA GOR MAHIA NA ULINZI. MASHABIKI WA GOR MAHIA WALIZUA RABSHA BAADA YA TIMU YAO KUNYIMWA PENALTI KUTOKANA NA KWAMBA MCHEZAJI WA ULINZI ALIKUWA AMEUSHIKA MPIRA KATIKA ENEO LA HATARI. RAILA ALISEMA HAYO ALIPOKUWA AKIONDOKA KUELEKEA NCHINI IVORY COAST KUHUDHURIA SHEREHE YA KUAPISHWA KWA RAIS ALLASANE OUTTARA.

Related Topics


.

Trending Now

.

Popular this week

.

Similar Articles

.

Recommended Articles