Kipindi Cha Sasa 06:15 - 09:59 (Saa Za Afrika Mashariki)

Maisha Asubuhi na Alex Mwakideu na Jalas

Wimbo wa Sasa:

Show Inayofuata: Staarabika 10:00 - 12:45 (Saa Za Afrika Mashariki)

PODCASTS
Soma Habari Nyingine

Matukio Nchini

Ole Lenku amemtetea Kimaiyo

June 18, 2013 - Licha ya kuwepo manung'uniko miongoni mwa makamishna wa Tume ya Huduma za Polisi kuhusu hatua ya Inspekta Mkuu wa polisi David Kimaiyo kuwateua Makamanda wa Kaunti, Inspekta Mkuu na Mwenyekiti wa Tume hiyo Johnstone Kavuludi kwa mara nyingine tena wamesisitiza kwamba hakuna tofauti zozote kati yao. Katika mkutano na wanahabari, wawili hao wamesema kuwa wanashirikiana kikamilifu kufanikisha maba... [Soma Zaidi]0 Responses

  • Umiliki wa Ardhi

    Polisi waziba Gereji ya Grogan, Nairobi

    Taharuki imetanda katika eneo la Grogan jijini Nairobi baada ya polisi kuziba eneo hilo ili kuwazuia zaidi ya wahudumu 900 wa Juakali. Hatua hii inafuatia amri iliyotolewa ... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 18, 2013 na Khadija Abubakar

  • Usalama

    Polisi Kubuni Chama Chao

    Ni afueni kwa maafisa wa polisi baada ya mahakama ya viwanda kuwaruhusu maafisa hao kubuni chama cha kutetea maslahi yao. Jaji wa mahakama hiyo Onesmus Makau amesema hakuna... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 17, 2013 na Mate Tongola

  • Usalama

    Mshukiwa Wa Ugaidi Auawa - Mombasa

    Mwanamume anayeaminika kuwa gaidi ameuawa kwa kupigwa risasi na grenadi mbili, bunduki 2 na zaidi ya risasi 200 kupatikana nyumbani kwake katika mtaa wa Kisauni, kaunti ya ... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 17, 2013 na Mate Tongola

  • Ajali

    7 Wafariki Webuye

    Watu 7 wamefariki kwenye ajali iliyotokea saa mbili usiku wa kuamkia leo, katika eneo la Kaburengu karibu na mji wa Webuye. Kwa mujibu wa afisa mkuu wa polisi Webuye Mashar... [Soma Zaidi]

    0 Responses

    Posted on June 16, 2013 na Geoffrey Mungóu