Sepetuko Podcast; Uanasiasa wa mwanasiasa Dkt Matiangi
Published Dec. 17, 2021
00:00
00:00

Katiba ya sasa ilipoandikwa ilifikirika kwamba mawaziri wakiteuliwa kutoka miongoni mwa wataalamu, watu wasio wanasiasa, huduma za baraza la mawaziri hazitaathirika kwa siasa. Lakini namna ambavyo Dkt Fred Matiangi amehusika siasa yaelekea njia hiyo sio suluhu ya kuondoa siasa kwenye huduma za mawaziri.