Mgomo wa Madaktari: Uhai wa Wakenya Uko Hatarini
Published Apr. 11, 2024
00:00
00:00

Mgomo wa madaktari unaoendelea sasa unatishia haki ya binadamu kwa uhai. Sepetuko inatoa wito kwa serikali na vyama vya madaktari kulegeza misimamo na kufumbua fumbo hili kwa faida ya raia.