Mgogoro wa Madaktari Unahatarisha Maisha ya Wengi
Published Apr. 17, 2024
00:00
00:00

Mgomo wa madaktari umetimiza sasa siku 35, naam majuma matano. Hakuna mwafaka wowote wa aina yoyote, na mwananchi anayetegemea huduma za afya katika hospitali za umma ndiye anaumia. Nani atamjali raia huyu?