Mbolea Ghushi: Serikali Yajichanganya
Published Apr. 12, 2024
00:00
00:00

Serikali imeendelea kujikanganya kuhusu taarifa za kuwapo mbolea ghushi nchini. Waziri wa Kilimo sasa anadai kuwa iliyokuwapo sio mbolea ghushi ila mbolea isiyokuwa na madini hitajika. Who's fooling who?