Serikali Inajitahidi Kweli Kupunguza Matumizi?
Published Apr. 18, 2024
00:00
00:00

Juma hili kumefanyika Kongamano la Kutathmini Viwango vya Mishahara na Marupurupu wanayopata wafanyakazi wa serikali. Rais amekariri kuwa serikali yake inajizatiti kupunguza mianya ya ufujaji serikalini. Sepetuko inasema kuwa kongamano hili na juhudi hizi ni kazi bure ikiwa serikali bado inaendelea kupanua viwango vya mishahara kwa kuwaajiri Mawaziri Wasaidizi CAS.