Usalama Barabarani: Kila Mtu Akiwajibika Kupunguza Ajali
Published Apr. 08, 2024
00:00
00:00

Description - Maelfu ya Wakenya wanaendelea kuaga dunia nchini kutokana na ajali barabarani. Familia zinaendelea kupoteza wapendwa wao kwa mnyama huyu anayeweza kuepukika. Ni wakati sasa sote tuwajibikie usalama barabarani -madereva, watumiaji wa miguu, wahudumu wa bodaboda na raia wengine. Jukumu la usalama barabarani sasa lazima liwe letu sote.