Nairobi Yazamishwa na Mafuriko: Serikali Iko Wapi?
Published Apr. 16, 2024
00:00
00:00

Mvua inayonyesha nchini inaanika wazi upungufu wa serikali katika kujiandaa kwa ajili ya msimu wa mvua ambao hutabiriwa mapema. Sepetuko inatoa changamoto kwa serikali kutafuta mbinu ya kuimarisha mfumo wa uzoaji majitaka, na kuvuna maji ya mvua kusaidia siku za usoni.