The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Kinara wa Chama cha Azimio Raila Odinga amelalamikia vikali kuzuiwa kwa wanahabari kufuatilia moja kwa moja uchunguzi na ufukuzi wa mili unaofanyika kwenye eneo la Shakahola katika Kaunti ya Kilifi.
Akizungumza kwenye eneo la Kibra muda mfupi baada ya kurejea nchini kutoka Dubai, Raila amekitaja kisa cha Shakahola kuwa kisa ambacho kinahitaji kuangaziwa zaidi kwani hakijawahi kushuhudiwa katika historia.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…