Kiongozi wa Azimio Raila Odinga ameendelea kutetea hatua yake ya kuwasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya kura ya urais.
Akizungumza alipohudhuria Ibada katika Kanisa la AIC Kibra jijini Nairobi, Raila ameeleza kwamba lengo lake kuu ni kulinda demokrasi kando na kuhakikisha ukweli unajulikana, hasa baada ya mianya kuibuka baina ya makundi mawili ya makamishna wa IEBC.
Ameendelea kusisitiza kuwa ana imani katika Idara ya mahakama akisisitiza kwamba ataheshimu uamuzi utakaotolewa.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.