Kisa cha naibu jaji mkuu nancy baraza kimeibua historia ya jinsi vigogo serikalini huwa na mwenendo wa maringo kupita kiasi na kuwatweza wananchi pindi wanapokuwa katika maeneo ya umma. Na kwa wale wanaodhania wanaonewa sheria za maadili ya afisa wa umma zinawashinikiza kuheshimu watu katika shughuli rasmi na vile vile wanapoendesha maisha yao kibinafsi. Huu utakuwa mtihani mkubwa kwa idara ya mahakama ikiwa watatekeleza haki kuambatana na sheria hiyo ya maadili. Baraza la tume ya mahakama litakutana jumatatu ijaayo kutafakari kisa hiki cha naibu jaji mkuu, baada ya jaji mkuu willy mutunga kuonya kuwa hakuna yeyote ambaye sheria itamlinda.
Baraza saga; how things have changed
Living
By | 14 years ago | 1 Min read
.
Trending Now
- Tems, the sing star to beat
- Julie Soweto: Forms 34A, 34B and 34C had a difference of 180,000 votes
- DJ Black Coffee reveals how his arm got paralysed
- Thrilling performances at Kenya Music Festivals
- Why does my husband criticise everything about me?
- Can a wild sexual past turn into a bright future?
- Four lies married men tell to get into your laced panties
- Easy recipe: Swahili coconut chicken curry
- Mungai Mbaya, Mo Aisha breakup months after agreeing to polyamorous relationship
- Gorogoro at all time high: 'Cornmen' and maize from Mexico
.
Popular this week
- #FridayFashionInspo: Judith Pajero, suits redefined
- Martha Karua celebrates 65th birthday in style
- Easy recipe: Mango pancakes with honey
- Can we mutually agree to end our marriage?
- Not every mother-in-law relationship is a battle
- Fashion trends to spice your wardrobe in 2018
- Easy recipe: Machboos Emirati rice
- Did you know thongs transfer bacteria, cause UTIs?
- Now my baby girl wants to be a socialite
- Why does everything always go wrong for me?
.
Similar Articles
.
Latest Articles
Living
By Jael Wakesho
Jun. 6, 2026
Between The Sheets
Jun. 6, 2026
.
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media
platforms spanning newspaper print
operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a
leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national
and international interest.