×
App Icon
The Standard e-Paper
Read Offline Anywhere
★★★★ - on Play Store
Download Now
×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Al Shabaab war update-Swahili

Living

Operesheni hiyo ya jeshi la Kenya nchini Somalia dhidi ya kundi la kigaidi la Al-Shabaab imepata kuungwa mkono na viongozi mbalimbali wa kitaifa, wengi wakipongeza hatua hiyo ya kukabiliana na Al-Shabaab, kundi walilolitaja kuwa kero kwa usalama na uchumi wa taifa. Viongozi hao hata hivyo walitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuungana na kenya katika makabiliano hayo wakisema ugaidi unaoenezwa na Al-Shabaab hautambui mipaka hivyo basi kuna haja ya dharura katika kukabiliana kikamilifu na kundi hilo.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles