×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Likoni ferry: Ni ajali ya kawaida au ni kafara?

Gari lililozama katika kivuko cha ferry cha Likoni.

Miaka nenda miaka rudi, kivuko cha Likoni Ferry kimekuwa kikifanyiziwa tambiko maalum na Wazee wa Kidigo ambao wamekuwa na jadi zao za kimila kwamba pepo wa bahari lazima kufanyiwa karamu yao kwa kuchinjwa ng’ombe mwakani na kutupwa ndani ya bahari hindi.

Kulingana na wazee hawa, tambiko la kumwaga damu baharini hususani katika kivuko cha Likoni ni kuepuka majanga ya maafa ama ajali za kufa maji ambazo wahenga huamini kuwa endapo matambiko ya aina hiyo hazitekelezwi kwa wakati ufaao, pepo hao wa baharini huja kama nuksi kusababisha ajali ya aidha gari kuzama na watu baharini au mtu kujirusha majini bila simule.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902