The Standard Group Plc is a
multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper
print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The
Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key
influence in matters of national and international interest.
Gavana wa Nandi, Stephen Sang amekana madai ya kutiwa nguvuni na hata kuzuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Kondele jijini Kisumu.
Akiwahutubia wanahabari muda mfupi uliopita nje ya ofisi yake, Gavana Sang amesema hatua yake ya kuwaongoza wakazi kung'oa miti ya zao la majani chai kwenye shamba linalomilikiwa na kampuni moja ya kimataifa kwenye eneo la Kibwari haijakiuka sheria. Amesema Tume ya Ardhi, NLC kwa ushirikiano na mahakama ilitoa agizo kwamba ardhi inalozaniwa kwenye kaunti hiyo kurejeshewa umma.
Premium Article
Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
🔥 Flash Sale !
Subscribe now and enjoy 50% off monthly and annual plans. Offer ends in…
Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.
Journalism can't be free because the truth demands investment.
At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate,
factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the
pursuit of credible journalism.