Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Smart Minds Choose Us
★★★★ - on Play Store
Download App

Mwanapatholojia wa Serikali kuongoza upasuaji wa mili ya Shakahola

Shughuli ya upasuaji ya mili ya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa mchugaji tata Paul Mackenzie iliyofukuliwa katika eneo la Shakahola kwenye Kaunti ya Kilifi inatarajiwa kuanza leo Ijumaa katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Malindi.

Idadi ya mili hiyo imekuwa ikiongezeka kila siku, huku jana pekee mili mingine kumi na mmoja ikifukuliwa na kufikisha jumla ya mili, mia moja na tisa.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News