×
App Icon
The Standard e-Paper
Home To Bold Columnists
★★★★ - on Play Store
Download App

IEBC yawafuta maafisa 4 Homa Bay

Tume ya Uchaguzi, IEBC imewafuta kazi maafisa wake 4 ambao walikamatwa katika Eneo Bunge la Ndhiwa kwenye Kaunti ya Homa Bay wakihusishwa na njama za kulenga kufanikishwa udanganyifu katika uchaguzi wa Jumanne wiki hii.

Waliofutwa ni msimamizi wa uchaguzi katika kituo kimoja cha kupigia kura katika wadi ya Kanyadoto, manaibu wasimamizi wa uchaguzi wa vituo viwili vya kupigia kura katika wadi ya Kanyadoto na karani wa kituo kimoja cha wadi ya Kwabwai.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Uncover the stories others won’t tell. Subscribe now for exclusive access
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in