Meneja wa West Ham ameonesha nia ya kumsajili mshambulizi wa Manchester City Wilfried Bony

Na, Hassan Ali

Tugeukie sasa maswala ya uhamisho ambapo jarida la Sun laarifu kuwa meneja wa West Ham Slaven Bilic ameonesha nia ya kumsajili mshambulizi wa Manchester City Wilfried Bony mwenye umri wa miaka 27, sawa na mshambulizi mwengine kutoka Juventus Simone Zaza, mwenye umri wa miaka 25.