×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Mkutano Wa Kanu

Living

Chama cha kanu sasa kimetaka viongozi wake wanaoshikilia nyadhifa za umma wang’atuke kutoka uongozi wa chama  kama inavyohitajika kwenye katiba mpya.   Uamuzi huo umefikiwa hii leo kwenye mkutano wa baraza kuu  la kitaifa la chama hicho, uliofanyika katika hoteli ya Carnivore jijini Nairobi. Hatua hii imefuatia kesi iliyofunguliwa na walalamishi wa chama hicho katika mahakama ya Mombasa.

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles