×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]
Premium

Watatu wafariki kufuatia ajali

Living

Watu wamethibitishwa kufariki dunia  kufuatia ajali iliyoyahusisha magari kadhaa katika eneo la Kosachei  Barabara Kuu ya Eldoret-Webuye.

Inasemekana ajali hiyo iliyahusisha malori mawili na magari mawili ya abiria.

Mkuu wa Polisi wa Uasin Gishu Ayub Gitonga amesema gari moja ya abiria iligongana na lori lililokuwa likielekea Webuye.

Dakika chache baadaye gari jingine lililokuwa likielekea Eldoret  lilisimama katika eneo la ajali na hapo ndipo liligongw ana lori lililokuwa likiendeshwa kwa kasi kuelekea Eldoret.

Gitonga amesema lori hilo liliisukuma gari na kusababisha ianguke. Majeruhi kumi wa ajali hiyo wamepelekwa hospitali kwa matibabu.

 

Related Topics


.

Similar Articles

.

Recommended Articles