Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Wavuvi na mabaharia watakiwa kuwa makini kufuatia mawimbi makali yatakayoshuhudiwa baharini Pwani ya Nchi

Mamlaka ya Ubaharia nchini KMA kwa niaba ya Idara ya Utabiri wa Hali ya Anga Kenya Meteorological imewatahadharisha wavuvi na mabaharia kuwa waangalifu kufuatia mawimbi makali ambayo yalianza kushuhudiwa jana, nayanayotarajiwa kukamilika tarehe 21 mwezi huu.

Katika taarifa kwa vyombo vya habari, mamlaka hiyo imezitaja Bahari Hindi kwenye Kaunti za Lamu, Kilifi, Mombasa na Kwale kuwa zitakazoathirka na hali hiyo. Aidha KMA imewaonya wananchi vilevile kuwa makini ili kuzuia visa vya kuzama baharini.

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Fact-first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News

Related Topics