Please enable JavaScript to view advertisements.
×
App Icon
The Standard e-Paper
Fearless, Trusted News
★★★★ - on Play Store
Download App

Isaack Lenaola ateuliwa kuwa jaji katika mahakama ya juu

Na Mike Nyagwoka

Jina la Jaji wa Mahakama Kuu, Isaac Lenaola linatarajiwa kuwasilishwa kwa Rais ili kuanza mchakato wa kumwidhinisha kuwa Jaji wa Mahakama ya Juu. Lenaola ameteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama kuchukua wadhfa wa Jaji wa Mahakama ya Juu ulioachwa wazi kufuatia kustaafu kwa aliyekuwa Jaji wa mahakama hiyo, Phlip Tunoi. Hadi kuteuliwa kwake, Lenaola amekuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Alipohojiwa tarehe 12 mwezi huu wakati wa mchakato wa kujaza wadhfa huo, Lenaola alieleza imani yake kuwa ana tajriba ya kutosha kuwa Jaji wa Mahakana ya Juu.
Lenaola vilevile anakumbukwa kwa kauli yake kuwa iwapo angelinganishwa na mnyama angekuwa ndovu, alipoulizwa swali hilo wakati wa mchujo.

 

Premium Article

Get Full Access for Ksh299/Week.

Uncover the stories others won't tell. Subscribe now for exclusive access.
Continue Reading  →
What you get
  • Unlimited access to all premium content
  • Ad-free browsing experience
  • Mobile-optimised reading
  • Weekly newsletters & digests
Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payments Kenya's most trusted newsroom since 1902
Support Independent Journalism

Stand With Bold Journalism.
Stand With The Standard.

Journalism can't be free because the truth demands investment. At The Standard, we invest time, courage and skills to bring you accurate, factual and impactful stories. Subscribe today and stand with us in the pursuit of credible journalism.

Pay via
M - PESA
VISA
Airtel Money
Secure Payment Kenya's most trusted newsroom since 1902

Follow The Standard on Google News