Vijana wa Pep Guardiola kucheza dhidi ya Steaua Bucharest katika Ligi ya Mabingwa

Na,Hassan Ali

Mechi za kutafuta nafasi ya hatua ya makundi klabu bingwa barani Ulaya ambazo zitaendelea tena usiku wa leo kwenye milango ya saa kasorobo. Uwanjani Etihad vijana wa Pep Gurdialo watakuwa wakimaliza kazi walioianza wiki jana dhidi ya Steua Bucharest. Mechi nyingine ni kama ifuatavyo.
 
Borussia Mönchengladbach    v    BSC Young Boys    Borussia-Park    21:45    
FC Red Bull Salzburg    v    Dinamo Zagreb    Red Bull Arena Salzburg    21:45    
FC Rostov    v    Ajax    Olimp-2 Stadium    21:45    
APOEL Nicosia    v    FC København    GSP Stadium    21:45