×
App Icon
The Standard e-Paper
Stay Informed, Even Offline
★★★★ - on Play Store
Download App

Je Wajua Umuhimu Wa Viatu

Je wajua kuwa wanafunzi wengi kutoka shule za mashinani hufika shuleni bila viatu kutokana na hayo  zaidi ya watoto elfu thelathini  katika  sehemu za mashambani   mkoani  pwani wanaishi na  minyoo na maradhi ya kichocho maarufu kama  bilhazia  hii ni  kulingana na wizara ya afya   na mashirika  yasiyo ya kiserikali yanayoendesha huduma za matibabu ya  bure ya minyoo na  bilharzia katika shule  48 katika  wilaya za kilifi na kaloleni  ambapo wanafunzi  wa shule za msingi wameathirika.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Fact‑first reporting that puts you at the heart of the newsroom. Subscribe for full access.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in