Part of kenya's team to Daegu arrives -swahili

Nyimbo na densi ziliwakaribisha baadhi ya wanariadha wa kenya walioshiriki mbio za dunia kule daegu korea kusini walipowasili hii leo. Jamaa na marafiki waliungana na maafisa wa serikali kuwakaribisha washindi hao walionakili ushindi mkubwa zaidi wa medali 17 saba zikiwa za dhahabu.

Related Topics

daegu athletics