×
App Icon
The Standard e-Paper
Kenya’s Boldest Voice
★★★★ - on Play Store
Download App

Hafla Ya Mabingwa DOD

Kulikua na sherehe za kukata na shoka katika makao makuu ya jeshi nchini DOD wakati mabingwa wa ligi kuu nchini KPL Ulinzi stars walipoikabidhi rasmi idara hiyo kombe waliloshinda siku ya jumapili. Wachezaji wa timu hiyo ya ulinzi walijumuika na wanajeshi wenzao katika sherehe hizo huku wakiwa wamevalia sare rasmi za kazi kinyume na tulivyozoea kuwaona uwanjani.

Get Full Access for Ksh299/Week.
Bold Reporting Takes Time, Courage and Investment. Stand With Us.
  • Unlimited access to all premium content
  • Uninterrupted ad-free browsing experience
  • Mobile-optimized reading experience
  • Weekly Newsletters
  • MPesa, Airtel Money and Cards accepted
Already a subscriber? Log in