Truphena Muthoni avunja rekodi kwa kukumbatia mti saa 72

Truphena Muthoni avunja rekodi kwa kukumbatia mti saa 72
Muthoni, mwenye umri wa miaka 22, alianza safari hiyo Jumatatu, Desemba 8, 2025, nje ya Ofisi ya Gavana wa Nyeri, akishuhudiwa na wananchi waliovutiwa na tukio hilo adimu.
.

RELATED NEWS